FAMILIA NA JAMII








 Tarehe 31/07/2916 Forgiven to Forgive family ilitembelea kituo cha kuwatunza wazee na walemavu wasiojiweza. Tulifanikiwa kutembelea katika kituo cha Fungafunga kilichopo katika Manispaa ya Mkoa wa Morogoro tulifanikiwa kuwatia moyo kwa namna mbali mbali kwa kuwapa chakula na mahitaji mbalimbali.
 Baadhi ya Mahitaji mbalimbali ambayo familia ya Forgiven to Forgive ilifika nayo katika kituo cha fungafunga




Baadhi ya wazee na walemavu wa kituo cha fungafunga mkoani Morogoro

pia kama familia tunayo malengo mbalimbali kwa ajili ya kuifikia jamii
tunakukaribisha kutusupport kwa kujitoa na kutoa ili tuweze kufanikisha kazi hii.
unaweza kuwasiliana nasi kwa 0656 574 760

Comments