FORGIVEN TO FORGIVE
Forgiven to forgive ni kikundi
kinachoundwa na vijana wa kikristo kutoka madhehebu mbalimbali. Kikundi hiki ni
matokeo ya maono aliyokuwa nayo bro. Laban Philimon Nzelela na baada ya kukaa
nayo kwa muda mrefu tangu mwaka elfu mbili na kumi na moja,ilipofikia mwaka
elfu mbili na kumi na tano(2015) kikundi hiki kikawa kimeanza lakini hakikuwa
na jina mpaka kiliposhauriwa na mchungaji mmoja kuwa ni vyema kuwa na
jina. Mwanzoni mwa mwaka huu FTF ikawa imeanza utendaji kazi wake rasmi mwaka
huu 2016. Hii ni baada ya kupata watendaji kazi wa kudumu Ikiwa chini ya
uangalizi wa BROTHER.
Ikumbukwe mnamo mwezi wa sita
mwaka 2015 forgiven to forgive ilianza kutekeleza maono yake kwa mkakati wa
kutembelea makanisa mbalimbali na kutegemeza wachungaji.
Lengo kubwa au dhumuni
kubwa la kuanzisha huduma hii ni kutaka sana watu
waelewe maana halisi ya NENO MSAMAHA na pia wajifunze kusamehe
katika maisha yao ya kila siku MATHAYO 6:14 tukijifunza maisha halisi ya
YESU KRISTO ni maisha yaliyo tawaliwa na msamaha
*Pia huduma hii imekusudia kuwainuwa watu kiroho na kimwili, tunapozungumzia kiroho tunamaanisha watu wamjue kristo kiundani kwa mafundisho ya neno la MUNGU.
=KIMWILI; YESU alipokuwa akiwafundisha makutano kwa muda mrefu ulifika wakati wanafunzi wake waka mwambia Bwana tuwaruhusu watu hawa wakajipatie chakula lakin YESU alijibu wapeni ninyi Chakula Kwa statement hiyo inadhihirisha watu wahitaji kwa roho pia kwa mwili na si kwa chakula tu bali hata mali zetu.

*Lengo lingine ni kwafikia watu
wasio jiweza kama YATIMA, WAJANE,WAZEE,WALEMAVU na pia WAGONJWA. na njia kuu ya
kuwafikia watu hao ni by providing their basic needs
*Pia tuna lengo la kuandaa na kufanya
semina mbalimbali za NENO la MUNGU zitakazo fundisha watu
kuhusu injili ya KRISTO NA MSAMAHA ULETAO UHURU WA NAFSI .....wakati mwingine
hata kualikwa sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufundisha neno la MUNGU
*Pia kuwafundisha vijana wa
shule za misingi, sekondari,Vyuoni na vijana wote kuhusu maisha halisi ya
kumjua MUNGU na UAMINIFU wake.
=Kuwafikia vijana wote wa maeneo
yote hasa vijijini kwa ajili ya kuwafundisha NENO LA MUNGU
=Kufikisha NENO la MUNGU kwa namna nyingi na tofauti tofauti kwa mfano kuprint Tshrt zenye ujumbe wa kimungu, pia vitabu vitakavyo fundisha kuhusu IMANI, UPENDO, MSAMAHA, MAHUSIANO YALIYO SAHIHI MBELE ZA MUNGU na nk..........
=Kutembela makanisa mbalimbali kwa ajili ya kufundisha neno la MUNGU pia kuwategemeza wachungaji
=Kuwa na mikesha mbali mbali itakayo fundisha mambo mengi kuhusu ukuu wa MUNGU .
=Kuwafikia wahitaji au makundi maalum katika jamii.

Pia Tunakukaribisha uweze kushirikiana na Forgiven to Forgive kuwafikia wahitaji.

Comments
Post a Comment