*NAMPATAJE MTU SAHIHI WA KUOA*
you will never find something
right for you unless you get at a right time.......
Wakati mzuri wa kukata tamaa ni pale unapokuwa umekipata.Hujawahi taka kula chakula mpaka wakati unapofika ndipo tumbo linadai kitu.
Wakati mzuri wa kukata tamaa ni pale unapokuwa umekipata.Hujawahi taka kula chakula mpaka wakati unapofika ndipo tumbo linadai kitu.
Sitaki nikuvunje moyo kwamba
hauna kitu sahihi ulichotaka,ila nataka uone namna ya kumpata mtu sahihi wakuoa
katika maisha yako,Hakuna mnunuzi wa kiatu atakayefurahi ikiwa atagundua
amechukua *over size* lakini furaha yake hudhihirika anapokuwa amepata kiatu
chenye *size* yake inayomtosha.,
*Jinsi ya kumpata mtu sahihi wa
kuoa au kukuoa*
1: WAKATI MUAFAKA WA KUAMUA
Tatizo si hitaji ,tatizo ni muda
wa hilo hitaji kutimizwa umefika?,Lazima uangalie uko wapi na unaenda wapi ,uko
hatua gani ya mipango yako..? Dont do unplanned things and expect the right
result out...never!.
Kwako isitokee kama ajali
kujikuta umetumbukia kwenye mahusiano,na baadae ukaanza kusema mahusiano
yamekuwa tanzi kwako.
Wakati hautegemei umri wako ili
uanzishe mahusiano,wala mali haziamui au hazikupi sifa za kuanzisha mahusiano
bali wakati wako umefika?,siku zote tunayo maji lakini si mara zote tunakunywa
isipokuwa kwa wakati.
N:B,uhitaji wako si mlango wa
kumpata mwenza wako.Ni ngumu kujua wakati wako lakini mambo yako yanapokuwa
yamefikia hatua yenye mwanga mbele waweza amua kuanzisha sasa,na ukiingia si
ile unaweka booking!
Nielewe wakati wa mvua kunyesha
hakutegemei maandalizi ya mkulima kwenye shamba lake,kwani hata asipoandaa mvua
itanyesha na wakati wa mvua kunyesha. Ukipita asitegemee kuirudisha kwa maombi
yake,"vivyo hivyo ukiwa selective sana wakati we si mwanafunzi ni mdada na
kukomaa umekomaa kabisa basi tarajia kulia baadae sana na kufunga mno kwani
wakati wako ulipita subiri waliozaliwa baada yako watwaliwe"
2: JIWEZE MWENYEWE KWANZA
Haiwezekani hujui hata namna ya
kujisimamia mwenyewe leo wataka kuingia kwenye majukumu ya kumsimamia
mwingine,Hujui hata kupangilia mambo yako halafu unataka uanze kupangilia
mipango ya wawili ukitegemea itasimama,aaaaah! Hapana bhna ni ngumu,nakushauri
enjoy to be single until you come to control yourself.
3: HAKIKISHA UNA MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU
Kuna maneno yanayofanana na haya
kwamba ikiwa nyinyi mnajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema si zaidi sana Baba
wa mbinguni.Mungu ni baba yako na kama uko na mahusiano mazuri na yeye hawezi
kukupa jiwe unapoomba mkate ina maana ukiomba mke mwema atakutengenezea
mazingira ya kumpata mke mwema huyo.we should not lie to ourselves about
getting a good wife while we are not good with God.
You need good wife be good with God, make up your mind.
Comments
Post a Comment