Tarehe 20/08/2016 tulikuwa na semina ya Vijana katika wilaya ya Gairo katika kanisa la EAGT Gairo. Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufanya hili jambo
Mwalimu Kelvin Kitaso akihudumia vijana katika kanisa la EAGT Gairo
Mwalimu Laban Nzelela akihudumu katika sehemu hiyo
Sehemu ya vijana wakimwabudu Mungu
vijana wakiombewa maombi maalumu na Askofu Dr. Mwigowe
sehemu ya wanachama wa Forgiven to Forgive waliofanikisha semina hiyo
Comments
Post a Comment