*NAMPATAJE MTU SAHIHI WA KUOA*
you will never find something
right for you unless you get at a right time.......
Wakati mzuri wa kukata tamaa ni pale unapokuwa umekipata.Hujawahi taka kula chakula mpaka wakati unapofika ndipo tumbo linadai kitu.
Wakati mzuri wa kukata tamaa ni pale unapokuwa umekipata.Hujawahi taka kula chakula mpaka wakati unapofika ndipo tumbo linadai kitu.
Sitaki nikuvunje moyo kwamba
hauna kitu sahihi ulichotaka,ila nataka uone namna ya kumpata mtu sahihi wakuoa
katika maisha yako,Hakuna mnunuzi wa kiatu atakayefurahi ikiwa atagundua
amechukua *over size* lakini furaha yake hudhihirika anapokuwa amepata kiatu
chenye *size* yake inayomtosha.,
*Jinsi ya kumpata mtu sahihi wa
kuoa au kukuoa*
1: WAKATI MUAFAKA WA KUAMUA
Tatizo si hitaji ,tatizo ni muda
wa hilo hitaji kutimizwa umefika?,Lazima uangalie uko wapi na unaenda wapi ,uko
hatua gani ya mipango yako..? Dont do unplanned things and expect the right
result out...never!.
Kwako isitokee kama ajali
kujikuta umetumbukia kwenye mahusiano,na baadae ukaanza kusema mahusiano
yamekuwa tanzi kwako.
Wakati hautegemei umri wako ili
uanzishe mahusiano,wala mali haziamui au hazikupi sifa za kuanzisha mahusiano
bali wakati wako umefika?,siku zote tunayo maji lakini si mara zote tunakunywa
isipokuwa kwa wakati.
N:B,uhitaji wako si mlango wa
kumpata mwenza wako.Ni ngumu kujua wakati wako lakini mambo yako yanapokuwa
yamefikia hatua yenye mwanga mbele waweza amua kuanzisha sasa,na ukiingia si
ile unaweka booking!
Nielewe wakati wa mvua kunyesha
hakutegemei maandalizi ya mkulima kwenye shamba lake,kwani hata asipoandaa mvua
itanyesha na wakati wa mvua kunyesha. Ukipita asitegemee kuirudisha kwa maombi
yake,"vivyo hivyo ukiwa selective sana wakati we si mwanafunzi ni mdada na
kukomaa umekomaa kabisa basi tarajia kulia baadae sana na kufunga mno kwani
wakati wako ulipita subiri waliozaliwa baada yako watwaliwe"
2: JIWEZE MWENYEWE KWANZA
Haiwezekani hujui hata namna ya
kujisimamia mwenyewe leo wataka kuingia kwenye majukumu ya kumsimamia
mwingine,Hujui hata kupangilia mambo yako halafu unataka uanze kupangilia
mipango ya wawili ukitegemea itasimama,aaaaah! Hapana bhna ni ngumu,nakushauri
enjoy to be single until you come to control yourself.
3: HAKIKISHA UNA MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU
Kuna maneno yanayofanana na haya
kwamba ikiwa nyinyi mnajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema si zaidi sana Baba
wa mbinguni.Mungu ni baba yako na kama uko na mahusiano mazuri na yeye hawezi
kukupa jiwe unapoomba mkate ina maana ukiomba mke mwema atakutengenezea
mazingira ya kumpata mke mwema huyo.we should not lie to ourselves about
getting a good wife while we are not good with God.
You need good wife be good with God, make up your mind.
SEHEMU YA PILI
UISHIJE KATIKA MAHUSIANO ILI
UFURAHIE*
Hata
iweje mahusiano hayawezi kuwa kitu rahisi na si kitu cha kubezwa kirahisi,
Mahusiano yanafungwa Kwa upendo na huruma pia.
Kuaminiana katika mahusiano si kitu kinachokuja ghafla bali kinatengezwa kwa kuzingatia muda.
Hata kama ni eneo la kazi uaminifu unategemea sana mahusiano yamedumu kwa mda gani?
Vile ulivyo wewe ndivyo mahusiano yako yatakuwa wataalamu wa saikolojia wanasema mahusiano ni kama kioo "they do reflect you"

Ni
muhimu kujua mahusiano yana nafasi kubwa katika maisha yetu si katika uchumba
tu, hata tunapoendelea kuishi tunahitaji kuhusiana vizuri na watu ili kuendelea
kupata nafasi mioyoni mwao,Lakini niko hapa kukueleza mahusiano ya watu wawili
wapendanao na ambao wamenia kuwa pamoja.
Kama
nilivyotangulia kusema mahusiano yanayotupeleka kwenye ndoa si kitu
rahisi,kuilinda thamani ya mahusiano inahitaji kujidhatiti kifikra kuliko
kimvuto au kipesa,waweza kuwa vizuri kwenye mambo yote lakini endapo utavuruga
hap Itakuchukua muda kukaa sawa
Unahitaji amani,unahitaji furaha,unahitaji mtu wa kukuona wewe ni bora kuliko wote ulimwenguni,mtu anayeweza kukuonyesha thamani yako tena mara baada ya kuipoteza,mtu wa kuukumbatia moyo wako na kukwambia bado unayo nafasi ya kufanya mambo yako bila presha yoyote maana ninakupenda na tutafika mwisho vizuri
Ukishakubaliana na mwenza wako na kuanzisha mahusiano ni lazima kufahamu mapema aina ya mahusiano,je ni ya uchumba wenye maadili,uchumba wenye sex ndani yake au lah!
Lakini hapa nataka nizungumze na wewe kikristo zaidi, uchumba wa kiungu zaidi.
Mfano mariam na Yusuphu si kama walikuwa wachumba wa kawaida tu bali mazingira ya dini yao na mila na desturi za kwao na ndivyo ilivyo hata katika jamii zetu au makabila yetu,na kama tungeweza kufuata taratibu na mila zetu chumba zetu zingekuwa njema sana.
Tutoke hapo na tuingie penyewe, uko kwenye mahusiano sasa, je uishije ili uweze kufurahia mahusiano yako?, na hata siku ile mnakula kiapo uwe unajua kuna amani maana mmeishi vizuri kwenye uchumba na sio unakula kiapo na moyoni unasema,"sijui kama itakuwa salama huko

.
Kuna wakati inafika unazitafuta zile sms za mwanzoni labda ulizisave somewhre au uliziiemail, halafu unajaribu kupima mwanzo na sasa mlipo, unagundua kuna, mabadiliko makubwa; hakuna tena honey i wish if you could be here, i miss you my queen and whatsoever.
Hakuna kinachoenda mbele bila kubadilika na ukiona mko kama mlivyoanza basi mjue hakuna mahali mnaelekea, mabadiliko yakiwepo ujue mnakomaa, mnakua tena mnayo nafasi ya kusonga mbele.
Usiogope mabadiliko yanapotokea, nataka nikueleze namna unavyoweza kuishi ili uyafurahie mahusiano yako, mind you dont take this as an empty words instead nurture them for your better relationship
Tuko wote hapo.? Nitazungumzia katika lugha rahisi sana ni kama unavyofundishwa kuendesha gari na huambiwi na, namna ya kukwepa ajali!

1: punguza masharti katika mahusiano.
Never encourage conditions
relationship but make it uncondition
Kuna tuvimasharti vingivingi ambavyo vinaonekana kumbana mwenzi wako bila hata kumsikiliza mwenza wako, na hata kama vipo lakini uwe unazingatia muda wa mahusiano yako yaani umri wa mahusiano.
Kuna tuvimasharti vingivingi ambavyo vinaonekana kumbana mwenzi wako bila hata kumsikiliza mwenza wako, na hata kama vipo lakini uwe unazingatia muda wa mahusiano yako yaani umri wa mahusiano.
Mfano; hutaki mpenzio afanye
kazi tofauti na ofisi yako kwa kuwa unakampuni yako, let her work even from
different job and place too.
2: Never blame your partner,do your part to make him or her realise his
or her mistake.,
Usimlaumu mwenzi wako,fanya yanayokuhusu ili umfanye ajue kosa lake. Kwani kadri unavyolaumu ndivyo unatengeneza uchungu wa moyo kwa mwenza wako .Yawezekana ni kweli una haki ya kumlaumu lakini kuwa na akili zaidi ili kuonesha ukomavu wako katika kuyakabili mambo.
Hapa kuna watu wanaact like parent type partner and not a someone who is in love, this can end up in disagreement.

: Hapa kwenye kulaumu kuna
njemba ziko vizuri,Biblia inatufundisha hata kama unasababu ya kulaumu
usilaumu.
Kama linakukereketa zaidi tafuta
namna ya kuliwasilisha kwa uzuri,au kwa siku nyingine hata kama amekosa
sometimes its not good to say it on the spot,you can wait until his or her mind
setled then you come up like advising.
Ukakasi unapotokea kwenye moyo
humfanya mtu awe anajishitukia kila wakati,anapoteza uhuru kwako.
: Hebu, niulize;Unajisikiaje
kulaumiwa kila siku?
: Hii inakufanya ujione you are
so perfect ,mind this,,,,,blamers cant be advised.
Make your lover better not bitter.
Make your lover better not bitter.
3: Usifanye kitu usichokipenda kwa kumridhisha mwenzio au kulinda
mahusiano yako.
Check;mahusiano yako huwezi
kuyajenga imara kwa kujifanyisha bali yenyewe hujijenga kwa kuzingatia muda au
umri wake.
Never
pretend if you do not like just say it,because by pretending you will see
yourself guilt and live condemning your act.Make sure he/she knows your likes
and dislikes, try to be real.
: Kwenye eneo hili wengi hujikuta wanafanya yale wasiyoyapenda,*note afanyaye asilolipenda ni mtumwa*
: Kwenye eneo hili wengi hujikuta wanafanya yale wasiyoyapenda,*note afanyaye asilolipenda ni mtumwa*
Na
mtumwa hawezi kumfurahia bwana wake ,na wewe umekubali kuwa mtumwa,kama sivyo why
cant you stand and say no.
Ukigeuka kuwa mtumwa kwenye
mahusiano unapoteza heshima yako kwa mwenza wako na anaweza akakutawala akijua
huwezi pindua na akishafahamu hilo itampa shida kwani atajua moyoni ,"sina
mtu anaejielewa " *never trust a smile of the slave* ,laban nzelela
Akijua we ni mtumwa kwake ,sahau kuaminiwa ,sahau kusikilizwa u will be driven
Akijua we ni mtumwa kwake ,sahau kuaminiwa ,sahau kusikilizwa u will be driven
unwillingly.oooooh
God help meAm i
speaking???????? Hivi unafikiri utaachika kwa kusema hapana .
4: Mahusiano yasiwe ya muda mrefu mrefu.
Avoid long term relationship
while you are just in ethical relationship.
Angalau yawe kati ya mwaka mmoja au miaka miwili na si miaka 3,4 au 5.Hii mara nyingi ya muda mrefu huwezekana kwa wengine ambao wako kwenye sex relation means intimancy or erotic.
Kuna wengine wanataka wafanye sherehe za watu yaani kama ya yule,oooh nimeona masanja ya kwake kafanya hivi na mimi nataka. Hapa nisizungumze mno ila msiwe watu wa kupostpone,ooooh mwakani au mwaka kesho kutwa,do it anyway and God will make it in his way.
Mbona hukusoma topic zote na kwenye mtihani uliingia na ukafaulu,
Mnasubiri muwe na palace ndo muoane kama ni hivyo ungetafuta palace kwanza then ndo uanzishe mahusiano,kuliko kutuzibia siye riziki zetu
Ukishindwa kabisa hata kanisani ,au nyumbani kwa mzazi wako,mshauri wenu kwenye mahusiano(mentor)
Hii inakupa nafasi ya kufurahia uwepo wa mwenza wako na chit chatting za hapa na pale.

5: kuwa na muda wa kutoka na mwenzi wako.
Hii
si maarufu sana katika tamaduni zetu kwani hatujui kufanya kwa uzuri.
Waweza toka labda kwa chakula cha mchana lakini eneo salama,pia waweza tembea hata jioni lakini si eneo la siri kama huwezi kuwa na company yako ili kuhakikisha usalama wako na mwenza wako.
Waweza toka labda kwa chakula cha mchana lakini eneo salama,pia waweza tembea hata jioni lakini si eneo la siri kama huwezi kuwa na company yako ili kuhakikisha usalama wako na mwenza wako.
: Try one day ,am sure you will tell me but not frequently yaan jana mlikuwa wote,leo mko wote
,kesho
teeeena aaaaah,ndugu hapana
bhna.
Labda kile kipindi cha kukaribia ndo then zimebaki siku tatu mwaenda shopping mara heeeee mara hiiiiiiii
:
Ukiona tangu umeingia kwenye mahusiano hata kiwango cha maombi kimepungua ni
hatari may be its not a right relationship au unakosea kanuni, Bible inageuka
kipindi cha kuchat na wifi yetu,unapunguza utoaji
na kuhamishia matumizi kwa mpenzi wewe,
Imana ilakuona wewe ambaye humpi nafasi ya kupumua mtarajiwa unataka kila wakati uwe wewe tu,kaaaaah!!!!
Imana ilakuona wewe ambaye humpi nafasi ya kupumua mtarajiwa unataka kila wakati uwe wewe tu,kaaaaah!!!!
:
Mahusiano hayana furaha ya kukupa bali wewe unayofuraha ya kuyafanya kuwa
furaha kwako.
Itaendelea
wakati ujao………...
Comments
Post a Comment