FORGIVEN TO FORGIVE TEAM NA KANISA

HUDUMA YA FORGIVEN TO FORGIVE KATIKA KANISA LA CALVARY ASSEMBLIES OF GOD KINGOLWIRA

Mchungaji kiongozi wa pastor Hango kanisa hilo akiongea jambo katika ibada hiyo 

Baadhi ya wana kikundi cha Forgiven to Forgive waliofika katika kanisa hilo siku hiyo 

Mama mchungaji kiongozi wa kanisa hilo 

baadhi ya washirika waliohudhuria ibadani siku hiyo
mwalimu wa shule ya jumapili Cosmas Malando akifundisha katika ibada hiyo


viongozi wa sifa na kuabudu wakimtukuza Mungu katika ibada hiyo

                                                     FTF team kwa staili za furaha zote


Kumtukuza na kumwimbia Mungu kurejesha furaha

                                         Muhubiri wa ibada hiyo Laban Nzelela


watu wakiendelea kupokea kile ambacho kilikusudiwa katika ibada

ibada hiyo ilikuwa ya baraka sana mahali hapo siku hiyo 

karibu tushirikiane katika kumtangaza Yesu kwa watu kupitia Huduma hii ya Forgiven to Forgive

Comments

Post a Comment