FORGIVEN TO FORGIVE TEAM
Kama familia ya pamoja tulipata nafasi ya kufika katika kituo cha .kulelea watoto yatima na wenye ulemavu cha EMFERD. Ni kituo kilichoanza mnamo mwaka 2011 na kilianzushwa na ndugu Josephine Bakita kwa ajili ya kuwasaidia kwa namna mbalimbali watoto wenye ulemavu na yatima walio katika mazingira magumu. Forgiven to Forgive team tuliwatembelea kuwaona na kuwapa chochote ambacho tulifanikiwa kukibeba.
Kituo kina walea watoto 11 kituoni hapo pia kituo kina matawi mbalimbali ambazo ni familia 600 katika mkoa wa Morogoro
Yafutayo ni matukio katika picha katika kituo hicho
baadhi ya watoto waliopo katika kituo cha EMFERD
Baadhi ya wana Forgiven to Forgive Team walipowasili katika kituo cha EMFERD
Kama familia ya pamoja tulipata nafasi ya kufika katika kituo cha .kulelea watoto yatima na wenye ulemavu cha EMFERD. Ni kituo kilichoanza mnamo mwaka 2011 na kilianzushwa na ndugu Josephine Bakita kwa ajili ya kuwasaidia kwa namna mbalimbali watoto wenye ulemavu na yatima walio katika mazingira magumu. Forgiven to Forgive team tuliwatembelea kuwaona na kuwapa chochote ambacho tulifanikiwa kukibeba.
Kituo kina walea watoto 11 kituoni hapo pia kituo kina matawi mbalimbali ambazo ni familia 600 katika mkoa wa Morogoro
Yafutayo ni matukio katika picha katika kituo hicho
Mwenyekiti wa Forgiven to Forgive team akijiandaa kukabidhi vile ambavyo familia imefanikiwa kufika navyo siku hiyo
tunamshukuru Mungu kwa namna alivyotujalia kulitimiza jambo hili hasa katika kituo hiki cha EMFERD ambapo ki uhalisia katika kituo hiki kuna uhitaji mkubwa sana
tunawashukuru wote waliojitoa kushiriki pamoja nasi katika tukio hili
MUNGU AWABARIKI SANA
Comments
Post a Comment