MKUTANO MKUBWA INJILI ULIOFANYIKA BWAWANI- CHALINZE
FORGIVEN TO FORGIVE TEAM Tunamshukuru Mungu kwa kuwa uwezo wake wa kuokoa haujapunguka kwa watu wake.tulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili kwa siku tatu kuanzia tare 28-30/07/2017 mkutano ulikuwa wa baraka sana katika kijiji kile cha Bwawani.
Sehemu ya maandalizi ya madhabahu (jukwaa)
baadhi ya watu waliofika kwenye mkutano huo
wahudumu wakiongoza mkutano huo wa watu na watu wakienda sawa
tulikuwa na waimbaji mbalimbali waliokuwa wanamtukuza Mungu katika mkutano huo pamoja na huyu jamaa wa Yesu Fikiri Nehemiah
tulikuwa na wakati mzuri sana katika siku zote tatu za mkutano
haya ni baadhi ya matukio yaliyojjili katika mkutano mkubwa uliofanyika Bwawani
Tunawashukuru sana kwa maombi yenu mliopata taarifa zetu hizi za mkutano na pia kuhusika kufanya chochote.
Comments
Post a Comment