Gift is a natural ability or talent.
This is different from the gift we receive from our friends as a material thing but here we speak about being equipped by the power from God that makes each of us to have the ability of doing things that was impossible to us before.
John 1:12
Mwaka 2005 nilipewa zawadi kwenye sherehe yangu,hiyo zawadi ilikuwa na vizuri kiasi kwamba nilipoiona nilitamani niifungue hapohapo kwa sababu karatasi zilizotumika zilinishawishi lakini nilipoifungua baadae sikuipenda.
Ndivyo ilivyo kufikia mahali kuifurahia karama uliyopewa na Mungu na ni lazima ufungue na kufungua kwa sababu kuna matabaka mengi ya karatasi yaliyotumika kufungia zawadi yako.
You must cry to find your gift,you must face battle just because you are gifted,you must be under pressure of being gifted.
Usiige au kusema ungependa kuwa kama mtu fulani
The greater problem that might hinder you to where you are leading is the wish of being someone else rather than being yourself.
Paulo analalamika juu ya wagalatia juu ya nani ya aliyewaloga ,kwa sababu wanaonekana kutoka kwenye kile walichokirimiwa na Mungu.
kwa sababu Mungu alikujua kabla ya haujatungwa tumboni mwa mama yako, uliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu iweje leo unataka kufanana na mtu mwingine ambaye ameshajipambanua katika kile alichokirimiwa na Mungu.
The best way to bury your gift alive is to try coping others.
Jeremia 1: 5 kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako nalikujua,kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalumu,nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.
Anaposema nimekutenga ina maana hakuna mahali pengine au kwa mtu mwingine anayetakiwa kuigwa na wewe ili kuwa unavyotakiwa kuwa.
Kaa jifunze,omba kama wewe,angalia maombi ya yabesi aliyoomba mbele za Mungu na kuuliza kama angebarikiwa kwelikweli.
Si kweli kwamba hakukuwa na watu waliobarikiwa karibu yake lakini hakuomba afanane nao kabisa bali aliomba kile kiokacho kwa Mungu.
Huzuni ya kweli huletwa kwa kupoteza muda kutaka kuwa kama Fulani.
Kwanini huzuni?kwa sababu usipofikia kile kiwango unataka huwezi ona furaha ya kweli,mhubiri mmoja maarufu alisema,“wanaoiga hawana nguvu za kufika mwisho”
Hawafiki mwisho kwa sababu wanachotumia sicho kilichomo ndani yao,wanasahau walivyokirimiwa na Mungu lakini wanaviacha na kujisumbua kuiga vya wengine.
1timoth 4:14
Ulichopewa na Mungu lazima kiwe na ladha tofauti na mwenzio,hatuwezi kuzalisha bidhaa zinazofanana,kusingekua na haja ya kuwepo na vipawa tofauti tulivyopewa na Mungu.
Zungumza karama yako,tenda karama yako
Wengine watakuacha sio kwa sababu hawakupendi lakini ni kwa sababu hawakuwezi yaani unastahili Zaidi ya vile walivyofikiri.
Daudi aliuzungumzia uwezo wake wa kupambana na dubu na simba kwa ajili ya kundi alilokuwa na analichunga na kabla ya kupambana na Goliath alitangaza kushinda,kwa sababu alijua ameshawezeshwa yaani uwezo utokao kwa Mungu.
Unahusianaje na wengine na vingine
Kuna matatizo mengine yamekuja kwako kwa sababu ya watu waliyoko ndani yako,ndani ya meli yako.(yona 1:11-12)
Yawezekana Mungu anakwambia uache kuwakumbatia lakini bado umewashikilia.
Nina hakika unajua nani anayesababisha tufani kwenye safari yako,usiendelee kulizungusha jiwe ikiwa wakati wakumpiga Goliath umefika.
Lakini pia kuna watu wamekuja kwenye maisha yako kwa ajili ya kukusaidia kutengeneza na kuondoa matatizo yako.
Kwangu mimi kuna watu wa kila jinsi waliokuja kwenye maisha yangu ambao wamekuwa Baraka kwa sababu wameamini uwezo wangu,wanaiombea napokuwa nimeshuka moyo.
Mahusiano pekee ndo yanaweza kufunua ulichokirimiwa.
Will continue......
Comments
Post a Comment